USIKU WA LEO UMEKUWA WA FURAHA KWA MCHEZA TENESI NAMBA MOJA DUNIANI SERENA WILLIAMS

  Share this

  Mcheza tenesi namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake Serena Williams, amefanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza na mpenzi wake Alex Ohanian.

  Image result for serena williams

   

  Kwa mujibu wa Beyonce, mtu ambaye ni wakaribu na mwanadada huyo ametuma salamu za pongezi kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, kumpongeza na kuujuza ulimwengu  kuwa Serena amefanikiwa kuongeza idadi ya watoto duniani ambaye ni wa jinsia ya kike.

   

  Miezi kadhaa mwanadada huyo alitangaza kuwa na ujauzito hali iliyopelekea kukatisha baadhi ya michezo yake ya tenesi pia ikamfungulia shavu kwa ku-cover katika jarida la Vanity Fair akiwa mtupu.

  Image result for serena williams

  Dondosha comments


  Share this