2chainz aweka wazi kinachoendelea kati ya Kanye West na Jay-Z

  Share this

  Moja ya ishu kubwa ambayo bado inaishi ndani ya mioyo ya mashabiki ni kuhusu tofauti zilizopo kati ya Kanye West na Jay-Z, Good thing ni kwamba wawili hao bado ni washikaji kama kawaida, Kanye alimwambia 2chainz.

  Kwa sasa 2chainz ndio moja ya wana wakaribu sana na Kanye West na ukaribu wao uliwafanya kuongelea kuhusu stori zinazozagaa kuwa Kanye na Jay wanabifu, ila Kanye West alimsanua 2chainz kwamba hawana tatizo kabisa na Jay na bado ni “Brothers”.

  Kama pia ulipata nafasi ya kusikiliza ngoma ya Jay-z “Kill Jay Z” kuna mistari ambayo Jay alikuwa akimchana Kanye kwa kusema kwamba “You got people you love you sold drugs to
  You got high on the life, that shit drugged you
  You walkin’ around like you invincible
  You dropped outta school, you lost your principles
  I know people backstab you, I felt bad too
  But this ‘fuck everybody’ attitude ain’t natural
  But you ain’t a saint, this ain’t kumbaye
  But you got hurt because you did cool by ‘Ye
  You gave him 20 million without blinkin’
  He gave you 20 minutes on stage, fuck was he thinkin’?
  “Fuck wrong with everybody?” is what you sayin’
  But if everybody’s crazy, you’re the one that’s insane.”

  Kanye pia hakuishia kuisikiliza ngoma hiyo ya “Kil Jay Z” ila aliamua kujitoa katika mtandao wa kustream ngoma wa Jay-Z “Tidal”.

  Dondosha comments


  Share this