50 Cent bado anakinukisha kwenye Effen Vodka

  Share this

  Baada ya ripoti ambayo ilitolewa na Break Fast Club kuwa 50 Cent kwamba ameuza hisa za kinywaji chake cha EFFEN Vodka kwa mtonyo wa dola Milioni 60, Rapper 50 Cent ametusanua kwamba bado yupo kwenye brand kama kawaida licha ya kuuza hisa hizo.

  Goods thing ni kwamba rapper bado upo kwenye brand kama kawaida na moja ya commenti ambayo alitusanua nayo kwenye Instagram ilikuwa inasema kwamba “Am still on the brand I just got some cake out of the deal”.  Kingine kizuri ambacho kimeyuaminisha zaidi ni kwamba Hata wamiliki ambao wanamiliki kinywaji hicho cha EFFEN VODKA wamefunguka kwamba 50 Cent bado yupo anashirikiana na kampuni hiyo.

  Ballerific Comment Creepin —- 🌾👀🌾 #50Cent #commentcreepin

  A post shared by Baller Alert (@balleralert) on

  So mshikaji bado anakimbiza kama kawaida.

   

  Dondosha comments


  Share this