ACHANA NA KUSTAAFU KWA MAYWEATHER SASA 50 CENT AJIPANGA KUMRUDISHA TENA ULINGONI

  Share this

  Baada siku chache kupita rapper 50 Cent anataka kumrejesha upya mshikaji wake Ulingoni naye si mwingine ni bondia Flyod Mayweather ambaye hivi karibuni ametoka kutoa kipigo kwa CONOR MACGREGOR huku baada ya mpambano huo bondia huyo Floyd Mayweather aliatangaza kustaafu mchezo huo kwa mara ya pili, ambapo kwa sasa anastaafu akiwa na rekodi ya 50-0, yaani kashinda mapambano 50 bila kupigwa.

  Related image

  sasa kinacho mfanya 50 cent kutaka kumrudisha Mayweather ni kwamba kuna bondia mwingine anayefahamika kama ROCKY MARCIO ambaye alikuwa na rekodi sawa na Mayweather  ila kilichokuja kutokea ni kwamba bondia RICARDO LOPEZ ana rekodi ya kucheza mapambano 51 bila kupigwa na ndio sababu kubwa  inayomfanya 50 CENT kumtaka Floyd arejee ulingoni mara moja kwa ajili ya kuifuta rekodi hiyo ya jamaa.

  Image result for ricardo lopez boxer

  Ikumbukwe kwamba Mayweather ana umri wa miaka 40 na baada tu ya pambano alitangaza kustaafu kuingia tena ulingoni sasa je 50 cent ataweza kumshawishi ni jambo la kusubiri na kuona.

   

  Dondosha comments


  Share this