Alichokifanya Dj Khaled, ndio maana halisi ya mafanikio

    Share this

    Sio kufurahia tu mafanikio, ila inapendeza zaidi kama ukifurahia mafanikio ukiwa na washikaji zako ambao since day one walikuwa bega kwa bega katika mafanikio yako, Dj Khaled aamua kuwatunuku washikaji zake zawadi ya saa mpya za Rolex  ambazo ni gold.

    Akiwa kwenye likizo huko Bahamas kufurahia mafanikio ya Album yake ya “Grateful” katika chati za Billboard 200, Dj Khaled aliamua kuwapa washikaji zake ambao ni loyalty na waliojitolea kwa moyo wote kufanikisha mafanikio hayo.

    Dondosha comments


    Share this