Alichokisema Idris Sultan baada ya filamu ya Kiumeni kushinda Tuzo 2 za ZIFF

  Share this

  Weekend iliyopita pande za Zanzibar kulikuwa na tamasha la kimataifa la utoaji wa Tuzo za filamu lifahamikalo kama ZIFF ambalo hufanyika kila mwaka pande hizo.

  Zipo filamu kibao kutoka Tanzania ambazo zimekinukisha pande hizo ikiwa moja wapo ni Kiumeni ambayo Idris Sultan ni mmoja kati ya washiriki wa movie hiyo. Kiumeni imeshinda tuzo 2 ambazo ni Best Screen Play na Best Director.

  Idris Sultan alikuwanacho cha kutuambia baada ya kusogezewa kipaza cha Perfect255 wakati wa utoaji wa tuzo hizo.

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kumsikiliza Idris Sultan akifunguka juu ya tuzo hizo mwanzo mpaka mwisho.


   

  Dondosha comments


  Share this