Amber Rose na French Montana kunani tena…….

  Share this

  Amber Rose na French Montana kunani tena.

  Siku ya Mama duniani imewakutanisha karibu rapper French Montana pamoja na Amber Rose ambao wameonekana wakila bata la shangwe huko Miami, maswali ambayo yametawala kwa sasa ni kwamba wawili hao wapo kwenye mahusiano au ndio urafiki.

  Kupitia kurasa ya Instagram ya Amber Rose aliposti picha akiwa na French Montana huku akiweka caption ya kwamba  “Bruva 4 Life.”

  My Bruva 4 life @frenchmontana

  A post shared by Amber Rose (@amberrose) on

  Dondosha comments


  Share this