Apple Music yajipanga kufanya jambo hili

  Share this

  Mtandao wa Kustream ngoma wa Apple Music, umeamua kupunguza moja ya sifa yake ya Album au ngoma mpya kuwa “Exclusive”.

  Image result for Apple Music exclusive

  Kupitia Interview aliyoifanya Jimmy Iovine kutoka Apple, alifunguka kwa kusema kwamba Apple Music imejipanga kupunguza ishu ya Exclusive katika mtandao wao, hii ni kutokana na Label nyingi ambazo zimo katka mtandao huo wanaona kama wanabanwa sana kazi zao kuwa zinachelewa kuwafikia mashabiki wengine mpaka pale Apple Music itakapo maliza ishu hiyo.

  Image result for Apple Music exclusive

  Kama utakumbuka Ishu hiyo ya kazi za wasanii kuwa Exclusive kwenye Apple ilipelekea Kanye West kutoa maneno ya matusi juu ya mtandao huo na mingine ambayo inafanya michakato hiyo kwamba wanaaribu Indusrty ya muziki kutokana na mashabiki ambao hawapo kwenye Apple Music wanapaswa wasubiri kwanza.

  Image result for Apple Music exclusive

  Miongoni mwa wasanii abao wapo kazi zao zilishawahi kuwa Exclusive kwenye Apple Music, ni Drake, Chance the Rapper, Taylor Swift na Frank the Ocean.

  Dondosha comments


  Share this