Ariana Grande amepanga kufanya hili jijini Manchester

  Share this

  Licha ya majanga yaliyotokea wakati wa show yake huko Manchester kwa mlipuko wa bomu, Ariana Grande awahaidi mashabiki zake kurejea tena Manchester kwa ajili ya kufanya show ya kuchangia wahanga wa tukio hilo.

  Kupitia kurasa yake ya Twitter, Ariana Grande aliamua kuandika ujumbe mrefu kuhusu tukio hilo.

   

  Dondosha comments


  Share this