Baada ya Professor Jay, huenda AY akafuata!

  Share this

  Usiku wa kuamkia leo kuna picha na videos ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha mkali wa muziki nchini AY akimvalisha pete mpenzi wake wa muda mrefu mwenye asili ya Rwanda.

  Ikiwa inafahamika fika kuwa kitendo cha kuvalishana pete ndio mwanzo mzuri kwa wapendanao kufikia hatua za kufunga ndoa. Kwahiyo kuna dalili za kutosha za AY kufuata nyayo za Professor Jay ambaye amefunga ndoa wiki iliyopita. Kila la heri kwa mkongwe huyo.


   

  Dondosha comments


  Share this