BEATS BY DRE YATAMBULISHA HEADPHONES ZA KISASA NA ZA BEI YA JUU KULIKO ZOTE DUNIANI

  Share this

  Teknolojia inazidi kuwa kubwa duniani kutokana na wanasayansi kutumia muda mwingi kufanya uchunguzi wa mambo mbalimbali ili kurahisisha ufanyaji kazi kuwa rahisi kwa binadamu.Beats By Dre

  Sasa kwenye tasnia ya muziki leo kampuni ya Beats by Dre imetangaza na kutoa toleo jipya la headphones ambalo limepewa jina la Beats studio3 wireless,Kampuni hiyo imetangaza headphones hizo na kusema kuwa ni toleo la headphones zenye uwezo wa juu na ubunifu wa kisasa zaidi kuliko headphones nyingne duniani.

  Beats studio3 wireless zimetengenezwa kwa mfumo wa kisasa ambapo utaweza kumfanya mtumiaji kutockia kelele nyingne zaidi ya kile ambacho anakisikiliza yeye,Headphones hizo pia zimeboresha internal ya ndani ambayo imepewa jina la DNA huku kukiwa na ongezeko la chip kutoka kampuni ya apple inayoitwa W1.

  Image result for beats by dre

  Katika uzinduzi huo wa Headphones mpya kampuni ya Beats by Dre imetoa rangi nne tofauti za headphones hizo ambazo ni Nyeusi,Nyeupe,Nyekundu na bluu,headphone hizo zipo tofauti kabisa na nyingine zote za awali na bei yake ni $349.95

  Dondosha comments


  Share this