BIFU LA REMY MA NA NICKI MINAJ LITAMALIZWA KWA HIKI ATAKACHOKIFANYA LIL KIM

  Share this

  Rapa wa kike kutoka Marekani Lil Kim katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo anakumbukwa kwa maneno yake ya kujiweka mbali na bifu kubwa linalo fuatiliwa sana na watu wengi nchini Marekani kwa hasa katika muziki wa Rap/Hip Hop kwa upande wa wakina mama.

  Related image

  Bifu la Nicki Minaj na Remy Ma lilizidi kuwa kubwa baada ya Remy Ma kutwaa tuzo ya BET BEST FEMALE RAPPER  lakini licha ya bifu lao kuwa kubwa Lil Kim alishasikika katika mahojiano na kituo cha Billboard kuhusu Bifu hilo na kusema kuwa hana mpango wa kuungana na Remy Ma kumdiss Nicki Minaj.

   

  Image result for nicki minaj

  Lil Kim ambaye alishamdiss NickiMinaj kupitia ngoma ya ‘Black Friday’ aliongeza kuwa hana bifu kabisa na Nicki kwakuwa walishamaliza na kikubwa ambacho anaweza kusema kuhusu marapa hao wa kike ni kuwa shirikisha wote wawili katika album yake mpya.

  Related image

  Dondosha comments


  Share this