‘Big Girl’ ya Stella Mwangi ndani ya shavu zito kwenye filamu ya ‘Rough Night’

  Share this

  Ni vitu vingi ambavyo tunaweza kujivunia East Afrika kwa kuona miziki yetu inavyopenya na kutumika kama soundtrack huko Hollywood, ngoma ya “Big Girl” kutoka kwa Stella Mwangi iimetumika kama soundtrack kwenye movie ya “Roughnight”.

  Mwanadada anayetamba kwa sasa kutoka nchini Kenya na ngoma kibao, Stella Mwangi ameamua kushare Good Newz na mashabiki zake kwamba ngoma yake ya “Big Girl” imetumika kama Soundtrack trailer. katika filamu ya “Roughnight” ambayo inatarajiwa kutoka June 16 mwaka huu ikiwa inaongozwa na Scarlet Johansson.

  Cheki trailer la filamu hiyo ya Rough Night

  Dondosha comments


  Share this