Blac Chyna aamua kurudi huku sasa…

  Share this

  Blac Chyna aamua kuirudia njia yake ya zamani kujitafutia mkwanja baada ya kuachana na Rob Kardashian kupitia picha za uchi zilizotumwa kwenye mtandao wa Instagram.

  Blac Chyna Lisa Bloom Holds Pre-Court Hearing Press Conference With Her Client Blac Chyna

  Kupitia ripoti ambayo imetolewa na TMZ, imefunguka kwamba Blac Chyna ameamua kurudi kwenye biashara yake ya Kuhost Strip Club na muonekano wake wa kwanza utaanza kuonekana katika klabu ya Ace of Diamonds  huko West Hollywood na kitu kizuri ni kwamba popote atakapo kanyaga ndani ya klabu basi atakuwa anaingiza $10,000 sawa na kama milioni 22 na ushwee za kibongo.

  Watu wakaribu wa Blac Chyna wamefunguka kwa kudai kwamba Chyna ndie aliyeamua kuanzisha mazungumzo hayo kuhusu kuingiza mkwanja ndani ya klabu.

  Dondosha comments


  Share this