Caitlyn Jenner kuja na picha za utupu kwa mashabiki wake

  Share this

  Baada ya kutofanikiwa kuonekana sana na kupata chati mwaka 2016 zaidi ya video ya Kanye West ya “Famous”,  Caitlyn Jenner ameamua kujipanga kuja na picha za utupu mwaka huu.

  Cover

  Kupitia taarifa ambazo zinatolewa zinasema kwamba Caitlyn ameamua kuja na mpango wa kupiga picha za utupu yaani mpango wake mkubwa kuja na cover kama alizokuwa akizifanya Kim Kardashian, sasa mtangazaji maarufu anayefahamika kama Charlamagne amefunguka na kusema kwamba “Kama mtu haujatokelezea kwenye habari yeyote ile, basi lazima ukae utupu”

  Bado mashabiki duniani kote wanasubiria kuona hizo picha za Caitlyn baba wa familia yakina Kardashian ambaye aliamua kuwa katika hali ya kike.

  Dondosha comments


  Share this