CARDI B KUIPOKEA HII KUTOKA KWA MIGOS!!!

  Share this

  Imezoeleka kuwaona masupastar kibao wakifanya maamuzi ya kushangaza mbele ya mashabiki ili kuweka utofauti lakini safari hii rapper Migos ameamua kufanya sandakalawe mtu wangu.Unaambiwa kitendo cha Migos kupiga magoti wakati wakiperfom mbele ya Cardi b na mashabiki zaidi ya 19,000 na kutaka kumvesha pete mpenzi wake Cardi b ni chakipekee.

  Migos amefanya maamuzi hayo mara baada ya kile kinachoelezwa wawili hao hawakuwa katika maelewano mazuri hivi karibuni haswa pale mwanadada Cardi b kutangaza katika mitandao ya kijamii kuwa yupo single. Embu fikiria ingekuaje pale Cardi b angekataa kuvishwa pete hiyo??? Hayo ni maswali unatakiwa uwe na majibu nayo..Lakini kikubwa ni kwamba Cardi b amekubali na akaveshwa pete hiyo mbele ya mashabiki zake.

  Cardi b akionekana ameivaa pete hiyo

  Kibongobongo unafikiria ni mtu gani maarufu anaweza kufanya maamuzi hayo ya kufanya sandakalawe ya kumchumbia mpenzi wake juu ya jukwaa????

  Dondosha comments


  Share this