Cassper Nyovest ashindwa kabisa kuzuia hisia zake

  Share this

  Unajua hata Justin Bieber alishawahi kufunguka kwamba sehemu nzuri ya kupata watoto wakali basi we dondoka tu Instagram ambapo unaweza ukaona keki zote za Taifa, Sasa moja ya wasanii kutoka Afrika ambao wanadata sana na mashepu ya mstaa wa mbele na kuacha Komenti, Cassper Nyovest amekuja na jingine jipya.

  Tulishamwona mara ya kwanza kwenye kurasa ya Amber Rose na kukomenti kwamba chochote kile ambacho Amber anachotaka mchizi ye yupo tayari kumtunuku, This Time Cassper Nyovest ameshindwa kabisa kuzia hisia kwa Shape jipya la Rihanna kwa kusema kwamba analikubali lishape lake la sasa

  #VALERIAN premiere in Paris!!! 🇫🇷 @caradelevingne

  A post shared by badgalriri (@badgalriri) on

  Dondosha comments


  Share this