Chance the Rapper anaamini ukiwa msanii unaweza kufanya vingi kwa jamii kama…

    Share this

    Chance the rapper aamua kuyafuta mawazo ya mashabiki zake kuhusu kujiunga na umayor huko Chicago.

    Baada ya kuchangia mchango mkubwa katika jiji la nyumbani wao huko Chicago, kila shabiki wa Chance the rapper alikuwa na hamu ya kumwona msaniii huyo akiwa anafanya kazi serikalini, ila mambo si mambo chance the rapper ameamua kuyafuta mawazo hayo kwa kusema kwamba hatokuja kujihusisha na maswala ya yoyote kuhusu cheo serikalini, ila ukiwa katika nafasi yake kama msanii, unaweza kusema chochote kile kuhusu vitu mbalimbali tofauti na ukiwa serikalini.

    “I would never run for any office or government position,I’m not into it. I think politics is a reason why a lot of stuff doesn’t get done. There’s a lot of favors, and a lot of people are held back by their intentions of being re-elected or the things that they owe their party or constituents. I think when you’re in my position as an artist, I can say what I want and talk about the issues that matter.”

    Ishu nyingine ni kwamba katika familia yao, baba mzazi wa Chance The rappper, Ken Williams-Bennett ni deputy chief of staff wa Mayor wa Chicago Rahm Emanuel

    Dondosha comments


    Share this