Cheki sapoti ya Diddy kwa Drake

  Share this

  Wakati wasanii wengi wakubwa Duniani wakiwa wamefanikiwa kupitia brand zao za mivinyo, Diddy aamua kumpa pongezi Drake kupitia tangazo la Whiskey yake ya Virginia Black Whiskey.

  Kupitia tangazo ambazo alilishare rapper Drake kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusu Whiskey yake ya Virginia Black Whiskey ilimfanya rapper mkongwe,  Bad Boy mogul kufunguka kuhusu Drake kupitia kurasa yake ya Twitter kwa kusema kwamba  “another man of color owning their own, It’s time to start supporting us,” he wrote, tagging the post “#BlackExcellence.”

   

  Dondosha comments


  Share this