CHINGY AMERUDI UPYA KWENYE INDUSTRY YA HIPHOP KWA STAILI HII…

  Share this

  Unajua ni takribani miaka 10 sasa tangu tulipomwona mara ya mwisho ya rapper Chingy ameachia Album yake, Kitu kizuri ni kwamba Mzee Mzima Chingy kama anarudi na ujazo mwingine mpya baada ya kusaini dili nono na  Bungalo Records.

  Ishu kubwa ambayo inaendelea sasa ni kwamba kazi hizo ambazo atakuwa anaziachia Chingy zitakuwa zinasambazwa Exclusively na Universal Music Group, licha ya kazi zake kusambazwa na Universal Music Group, bado atakuwa na uwezo mkubwa wa kufanya lolote lile katika kazi zake kama zitakuwa haziendi vizuri.

  Unajua mara ya mwisho rapper Chingy aliachia Album yake mwaka 2007, kwa muda wote huo alikuwa bize kuachia Mixtape zake ambazo mara ya mwisho aliaachia 2016.

  Kwahiyo Mpnago mzima ni kwamba Mashabiki wakae mkao mzuri wa kupokea kazi mpya kutoka kwa rapper Chingy.

  Dondosha comments


  Share this