Chris Brown aingia kwa mara ya kwanza ndani ya listi hii ya wasanii

  Share this

  Chris Brown akaribishwa rasmi kwenye listi ya wasanii ambao wametunukiwa Diamond Play Button na mtandao wa Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni 10.

  Kuptia kurasa yake ya Instagram, Chris Brown aliamua kushare ujumbe na zawadi hiyo kutoka Youtube ikimpongeza kwa kila hatua ambayo amekuwa akiipiga katika mtandao huo mpaka kufikisha subscribers milioni 10 ambapo ikawafanya Youtube kumpongeza kwa Diamond Play Button.

  Thank you YOUTUBE ❤️

  A post shared by 💔🌕🏆 🔥 (@chrisbrownofficial) on

  Brown anaungana na wasanii kama Nicki Minaj, Wiz Khalifa, Eminem katka game ya HipHop, huku mastaa wengine kama Rihanna, Taylor Swift, Skrillex na Ariana Grande wakiwa na subscribers Milioni 10, Mpaka sasa Duniani kuna mtu mmoja tu ambaye ni Youtuber anafahamika kama Pewdiepie ndie amefanikiwa kupata Ruby play Button kutoka youtube kwa kuwa na subscribers milioni 55.

  Dondosha comments


  Share this