Chris Brown, Utata na Donald Trump

    Share this

    Chris Brown aamua kumtolea mapovu Donald Trump kwa kuwapa haki Zaidi mapolisi kupambana watu weusi.

    Moja ya jambo kubwa ambalo limemfanya Chris Brown kutoka mapozi ni baada ya kauli ya Trump huko New York kusema kwamba watu wasionyeshe hali ya huruma pale endapo mwalifu anachukuliwa kinguvu, Sasa kupitia kurasa ya Instagram, Chris Brown aliamua kufunguka maneno kuchukizwa na kauli hiyo ya Trump kwa kuandika kwamba โ€œAmani au msaada hauwezi kupatikana kwa staili hii ya kuwapa polisi haki Zaidi ya kuwakamata waalifu, san asana ย vijana weusiโ€

    Dondosha comments


    Share this