Clouds Media Group kuja na kituo kipya cha Televisheni

  Share this

  Kupitia mitandao ya kijamii ya Clouds Media Group wametusanua kuwa ifikapo tarehe 1 ya mwezi June kitazinduliwa rasmi kituo kipya cha televisheni cha Clouds Plus.

  Kituo ambacho kwa mara ya kwanza kitaanza kuruka hewani kupitia king’amuzi cha Azam kupitia chanel namba 121.

  Clouds Plus

  Unachotakiwa kufanya ni kuwa karibu na TV yako ili uwe wakwanza kulisanukia ting’a hilo.


   

  Dondosha comments


  Share this