DAVIDO AMSAINI MSANII MPYA KWENYE LABEL YAKE

  Share this

  Boss wa DMW, Davido leo hii amemsaini msanii mpya anayeitwa peruzzi_vibes kwenye record label yake ya DMW.

  Davido ameonesha furaha yake kupitia mitandao ya kijamii baada ya kupost ujio wa msanii huyo kwenye record label yake hiyo na post yake Davido kupitia ukurasa wake wa twitter imepokewa kwa comments nyingi na mashabiki wake.

  Mpaka sasa DMW imefikisha wasanii saba ambao ni Davido, DremoMayorkunYondaIchaba, peruzzi_vibes pamoja na mdada mmoja ambaye ni  Lola Rae

  mashabiki wa label hiyo wana shauku ya kujua nini kipya amekuja nacho msanii huyo peruzzi_vibes.

   

  Dondosha comments


  Share this