Davido athibitisha collabo yake na Alikiba kutoka hivi karibuni

  Share this

  Ni muda sasa tangu zimeanza kusikika story za mkali wa muziki hapa nchini Alikiba kuja na collabo na msanii mkali kutoka Nigeria Davido.

  Ikiwa alhamisi ya wiki iliyopita kwenye XXL ya Clouds fm Alikiba alikanusha kufanyika kwa collabo hiyo na kudai kwamba bado ni mipango tu ndio ipo ya kufanya ngoma na mkali huyo, Davido ameliweka jambo hilo wazi.

  Kupitia Snapchat ya Alikiba, amesikika Davido akisema collabo yao inadrop kitaani muda sio mrefu. Bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kumsikia Davido akifunguka juu ya issue hiyo.


   

  Dondosha comments


  Share this