DAVIDO AZIDI KUPOTEZA WASHIKAJI ZAKE KILA LEO

  Share this

  Baada ya kumpoteza mshikaji wake Tagbo katika kifo cha kutatanisha huku akiwa analaumiwa kuwa amehusika kwenye kifo hicho, Davido ametanganza kumpoteza tena mshikaji wake ambae ni Dj.

  Dj huyo ambaye ni Official Dj wa Davido anayefahamika kwa jina la Olu, amekutwa amefariki kwenye gari lake.

  Hakijajulikana ni nini ambacho kimesababisha kifo hicho, ila hii itakuwa ni mara ya pili Davido kupoteza mshikaji wake mwingine.

  Dondosha comments


  Share this