Dj Khaled anazidi kuchafua hali ya hewa na ‘Im The One’

  Share this

  Dj Khaled anazidi kuwaumiza wasanii wenzake vichwa kwa huu ujio wa ngoma yake ya “Im The One” ambayo ameifanya na Quavo, Lil wayne, Justin Bieber pamoja na Chance the rapper.

  Kama ulikuwa karibu na website yako ya Perfect255 jana najua ulikutana na stori kutoka kwa Dj Khaled akiwa ametengeneza Historia kwenye mtandao wa kustream wa Apple Music pamoja na chati za Billboard za Hot 100 ambapo ameshikilia nafasi ya kwanza.

  Good Newz nyingine kutoka kwa Dj Khaled ni kwamba, ndani ya wiki moja tangu kuachiwa kwa video yake ya “Im the One” kwenye VEVO, Dj Khaled amefikisha jumla ya watazamaji milioni 100.

  Dondosha comments


  Share this