Drake aingia kwenye listi ya marapper wanaopinga mstari wa ngoma ya “The Story of O.J”

    Share this

    rapper Drake aamua kuungana na wasanii wengine kama kujibu ile mistari ambayo Jay Z aliitumia katika ngoma ya  “The Story of O.J.” 

    Marapper wengi awachanga katika game ya muziki wameonekana kama kutopenda kile ambacho Jay Z alikiimba kwenye ngoma yake ya  “The Story of O.J.”  kwamba “Y’all on the ’Gram holdin’ money to your ear/There’s a disconnect, we don’t call that money over here,” “Y’all on the ’Gram holdin’ money to your ear/There’s a disconnect, we don’t call that money over here,” Sasa mistari hiyo ilizua songombingo nyingi sana ambayo ilimfanya rapper Future kuposti picha akiwa ameshikilia bunda la mtonyo kwenye masikio yake, 50 Cent, na wengine kibao, Drake nae ameamua kuungana nao kwa kuonyesha jeuri ya kushikilia vibunda viwili vya pesa kwenye masikio yake.

    Dondosha comments


    Share this