DRAKE AWEKA WAZI MUENDELEZO WA ILE TOUR YA BOYS MEETS WORLD,INAWEZEKANA AKATUA AFRICA

  Share this

  Baada ya kufanya Tour yake aliyo ipa jina la Boys meets world tour katika nchi za ulaya mapema mwezi January mwaka huu na kumaliza mwezi march,Tour ambayo ilifanikiwa sana kutokana na Albam yake ya More life kufikia kufanya vizuri na kufikia mauzo ya platnum mapema mwaka huu.

  Christopher Polk, Getty ImagesSasa kupitia ukurasa wake wa Instagram Rapper Drake amewaambia mashabiki zake kuwa wakati huu ni zamu ya nchi za Australia na News zeland,Rapper huyo anatarajia kutumia siku sita katika nchi hizo akianzia Nov 3 kayika jiji la Auckland, New Zealand katika uwanja wa Spark Arena kabla ya kumaliza Nov 20 in Melbourne Australia,wakati huo huo ticket zitaanza kuuzwa Sept 15.Tour hiyo pia inaweza kudondokea afrika,itakuwa good news kama akitua Tanzania.

  RATIBA YA DRAKE NCHINI AUSTRALIA NA NEW ZELAND

  Nov. 3 – Auckland, New Zealand – Spark Arena
  Nov. 7 – Sydney, Australia – Qudos Bank Arena
  Nov. 8 – Sydney, Australia – Qudos Bank Arena
  Nov. 10 – Brisbane, Australia – Entertainment Centre
  Nov. 18 – Melbourne, Australia – Rod Laver Arena
  Nov. 20 – Melbourne, Australia – Rod Laver Arena

  Wakati hayo yakiendelea rapper huyo ametumia mapato aliyoyapata kwa ajili ya kuchangia watu ambao wamepata majanga huko huston texas ambapo ametoa dola za kimarekani $200,000,na kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa ujumbe huu

  “To the resilient people of Houston and the entire state of Texas, I would like to send you all of our love and all of our prayers,” the rapper said. “To the brave men and women that have assisted in aid, relief [and] rescue, your actions are truly heroic. My good friend J.J. Watt has started a fundraising effort through YouCaring, and I’ve donated $200,000 towards it.”

  Dondosha comments


  Share this