Drake na Tory Lanez ndani ya picha moja

  Share this

  Ile kolabo ambayo mashabiki walikuwa wakiiota siku ije itokee, finaly inakaribia, Drake na Tory Lanez wamaliza bifu lao.

  Rapper Drake pamoja na Tory Lanez inaonekana kama bifu lao limeisha, baada ya wawili hao kupsti picha ya pamoja katika kurasa zao za Instagram huku kila mmoja kuweka caption ambayo itafanya upige makofi kwa jamaa hawa kumaliza mzozo wao.

  Wakiwa wote ni wazawa wa Torronto, kupitia kurasa ya Instagram ya Drake, aliandika kwa kusema kwamba “The city needs more of this and less of that. 6️⃣”, upande wa Tory Lanez aliandika  “Toronto…I Told U.”

  The city needs more of this and less of that. 6️⃣

  A post shared by champagnepapi (@champagnepapi) on

  Toronto… I Told You @Midjordan 📸

  A post shared by torylanez (@torylanez) on

  Dondosha comments


  Share this