‘ENEKA’ ya Diamond imeshangaza watu wengi, ila Huyu staa ameamua kutoa ya moyoni

  Share this

  Diamond Platnumz ameamua kuitekeleza ahadi yake ya kuachia ngoma mfululizo ambapo baada ya kuachia “Fire” na “I mIss You”, Eneka ikafuatiwa na mapokezi yake yalikuwa mazuri mpaka kumfanya yemi Alade kushangaa uimbaji wa Diamond.

  Ngoma na Video ya wimbo wa “Eneka” haina ubishi, moja ya ngoma kali ambayo Diamond ameifanya kwa kushitukiza kwa mashabiki wake, Good newz nyingine ni kwamba kutoka pande za Nigeria msanii Yemi alade aliamua kushusha comment chini ya ukurasa wa Diamond kwa kusema kwamba “Omg you are singing in IGBO”

  Director wa video ni Sesan ambaye ametisha kwa ma-location flan ya kinyama kama jangwani na sehem zingine tofauti tofauti. Bonyeza play kuitazama kisha niachie comment yako kuhusu video hiyo.

  Dondosha comments


  Share this