Enjoy kionjo kutoka kwenye Album mpya ya Chege

  Share this

  Ikiwa ni siku chache zimapita baada ya msanii wa Bongo fleva Chege Chigunda kutusanua kuhusiana na ujio wa Album yake mpya siku za hivi karibuni, leo ametupa kionjo cha baadhi ya ngoma ambayo hatujawahi kuisikia kitaani lakini itakuwemo kwenye album hiyo.

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili kusikiliza kionjo hicho kisha niachie comment yako kuhusiana na ngoma hiyo na ujio huo wa Album ya Chege ambayo itapewa jina la Sweety Sweety.


   

  Dondosha comments


  Share this