EXCLUSIVE: Diamond Platnumz akiongelea mipango, siri ya mafanikio yake na WCB kwa ujumla

  Share this

  Hakika Tanzania na East Africa kwa ujumla inajivunia Diamond Platnumz kutokana na hatua ambazo anapiga kila kukicha na kuipeperusha vyema bendera ya taifa lake kimataifa katika sekta ya burudani na hata kibiashara kwasasa.

  Ni mengi ambayo wengi wangependa kufahamu kutoka kwa mkali huyo kuhusu mafanikio yake, changamoto ambazo anapitia ili iweze kuwa funzo kwa vijana wengine ambao wana ndoto nao kufika sehemu ambapo amefika Diamond Platnumz.

  Ndio sababu ya PerfectoTV kumkokota mkali huyo kwenye exclusive interview na kubonga naye mambo kibao kuhusu muziki wake, biashara na hata malengo ya wasanii wake katika lebo ya WCB Wasafi.

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kuitazama interview hiyo mwanzo hadi mwisho kisha usisite kuniachia comment yako kuhusu chochote kile kuhusiana na interview hiyo.


   

  Dondosha comments


  Share this