EXCLUSIVE IRENE UWOYA KUFUNGA NDOA NA DOGO JANJA

  Share this

  Hivi karibuni kupitia mtandao wa Instagram  zimekiwa zikisambaa picha zikimuonesha muigizaji maarufu Tanzania Irene Uwoya akiwa ndani ya vazi la harusi lakini bila kujulikana ni nani anaefunganae ndoa.lakini wengi wamekuwa wakisema huenda ikawa ni drama za mrembo huyo kutoka Bongo movie.

  Irene uwoya ndani ya Shera

   

  Sasa leo kupitia ukurasa wake wa Instagram mrembo huyo ameamua kufunguka na kumtaja kuwa masanii wa bongo Fleva anaetamba kwa sasa Dogo Janja kuwa ndie mumewake na anafuraha kumpata mwanaume wa ndoto zake.

  Licha ya maneno yake Irene kuthibitisha kufunga ndoa na Dogo Janja bado inaonekana mrembo huyo amemzidi kwa umri mshikaji wetu Janjaro.

  Dogo Janja

  Ikumbukwe kuwa Irene Uwoyo alishafunga ndoa na mwanasoka kutoka Uganda Emmanuel Ndikumana na kubahatika kupata mtoto mmoja, lakini ndoa hiyo haikuonekana kudumu na wawili hao kutengana.Unahisi bado itakuwa ni drama kutoka kwa mastar hao kutoka bongo????

  Dondosha comments


  Share this