EXCLUSIVE SHILOLE : SIINGILIWI KATIKA HILI

  Share this

  Hii itakuwa ni moja kati ya zile tulizozizoea kutoka kwa mastar wetu wa bongo. Mwaka 2017 umekuwa na drama kibao kutoka kwa mastar wetu ila kubwa zaidi ni lile tukio la harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya, wengi hawakuamini kilichotokea kati ya wawili hao, sasa unaambiwa mambo ni moto kwa Shilole mara baada ya kuamua kufanya maandalizi taratibu ya harusi yake na mpenzi wake bw.Uchebe.

  Kwasasa Shishi hataki kabisa kuwachanganya mashabiki zake na kuamua kuweka wazi kila mipango ya harusi hiyo. Kama ulikuwa hujui Shishi ameshaanza kusambaza kadi za mchango wa harusi na tarehe ya harusi ikiwa ni tarehe 20 ya mwezi wa 12 .

  Moja kati ya vazi lililo tayari

  Dondosha comments


  Share this