Forbes: Jay Z na Beyonce ndio couple tajiri zaidi kwenye HipHop

  Share this

  Baada ya kutoa listi ya wasanii ambao wanaingiza mkwanja mrefu katika game ya hiphop, Jay Z na Beyonce wametajwa kama moja ya kapo ambayo ni ya kwanza kwa utajiri zaidi katika Industry ya HipHop.

  The Carters

  Akiwa anashikilia nafasi ya pili katika listi hiyo ya wasanii wa HipHop tajiri zaidi Duniani akiwa na jumla ya mtonyo takribani $810 million, huku Beyonce nae akitajwa kuwa na jumla ya mtonyo wa dola  $350 million, sasa thamani ya mitonyo yao ikajumlishwa na kuwa jumla ya dola bilioni $1.16, na kuwafanya kuwa kapo ya kwanza ya HipHop ambayo ni Bilionea.

  Dondosha comments


  Share this