#FreeStyle: Cheki Rayvanny alivyoumiza kwenye beat ya “Up in the Air” ya Rosa Ree

  Share this

  Jana kwenye XXL ya Clouds fm ngoma ya “Up in the Air” ya kichwa kipya kwenye game Rosa Ree ndio ambayo ilisimama kama jiwe la wiki.

  Ndipo Rosa Ree alipogongana na Rayvanny mjengoni ambaye alidondoka kuidrop ngoma yake mpya ambayo ameipachika jina la Zezeta.

  Baada ya kuparty na jiwe la wiki, ndipo Rayvanny alipotupiwa beat kavu na kuanza kuteleza nayo kwa ma-freestyle na mambo kama hizo.

  Unataka kujua ambacho alifanya Vanny Boy? Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kisha sikiliza mwanzo mwisho halafu niachie comment yako kwamba ameumiza au amepuyanga.


  • Interview ya Rayvanny na Rosa Ree kwenye XXL Ijumaa ya May 12

  Dondosha comments


  Share this