Future, Russell na Ciara waungana pamoja kwa jambo hili

  Share this

  Ni wengi mashabiki wanachukizwa na uhusiano wa Russell pamoja na Ciara, ila kila kukicha ndio mapenzi yanazidi shamiri na kumfanya Baba wa kambo Russell kuzidisha mapenzi kwa mtoto wa Future.

  Russell Willson sio tu mapenzi kwa Ciara, hata kwa mtoto wa Future, na katika siku ambayo mtoto huyo anatimiza miaka 3, ameamua kuonyesha mapenzi yake kwa mtoto kama Baba yake wa kambo kwa kuandika ujumbe mzuri unaosema kwamba “The smile you make when you turn 3! I Love You!  Happy Birthday! Love, Papa Russ.”, Future nae hakuwa nyuma kumtakia mtoto wake siku ya kuzaliwa kwa kuandika “My baby bday at midnight,he’s turnin 3 & I’m super excited. More blessings More Love. #BabyFuture”

  The smile you make when you turn 3! I Love You! Happy Birthday! Love, Papa Russ.

  A post shared by Russell Wilson (@dangerusswilson) on

  Dondosha comments


  Share this