G Nako aelezea fursa zilivyo funguka baada ya kuigiza kwenye jeneza!

  Share this

  Kama umefanikiwa kuipitishia jicho video ya ngoma ya Lucky Me ya G Nako utakuwa umekutana na kitu cha tofauti ambacho watu wengi huwa wanaogopa kufanya.

  G Nako kuingia kwenye jeneza, ikiwa wengi huwa na imani tofauti na kitendo hicho na kudai kwamba sio vizuri na vitu kama hivyo.

  Mkali huyo kutoka Weusi ametusomesha kuwa ni milango kibao ya fursa imefunguka baada ya yeye kuonekana na ujasiri wa kufanya kitendo kama kile, ikiwa ni kutafutwa na madirector wa movies kwa ajili ya kushoot na vitu kama hivyo.

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kumsikiliza G Nako akifunguka mengi kuhusu fursa alizo zipata baada ya kuigiza kwenye jeneza kwenye video ya ngoma yake ya Lucky me.

  Dondosha comments


  Share this