Good Newz kwa mashabiki wa tamthilia ya ‘Power’

  Share this

  Kama ni mfuatiliaji wa tamthilia ya Power, basi Good newz ni kwamba, Power imekuwa moja ya tamthilia maarufu zaidi ukiachana na Game Of Throne.

  50 Cent

  Wakati mashabki wakiwa wanasubiria huu ujio mpya wa sehemu ya nne ya tamthilia hiyo ya “Power” kutoka kwa 50 Cent, mtandao wa Deadline nao umeripoti kwamba tamthilia hiyo imeshika nafasi ya pili kwa kuwa na watazamaji wengi mtandaoni ambao wanakaribia kufikia milioni 8.

  Dondosha comments


  Share this