Grateful ya Dj Khaled bado imeshikilia chati ya Billboard

  Share this

  Kama alivyowahi kuahidi kuhusu album yake ya Grateful kwamba itachukua tuzo ya Grammy na kufanya vizuri, matunda yameshaanza kuonekana kwenye Album hiyo kwa kushika nafasi ya kwanza ndani ya wiki mbili ya chati za Billboard 200.

  Alianza na “Am the One“, sasa album yake imeaanza kuumiva chati za Billboard 200, ishu hiyo inamfanya Dj Khaled kumzuia Calvin Harris kutamba kwenye chati hizo, Kupitia kurasa yake ya Instagram Dj Khaled alishare ujumbe na mashabiki zake kuhusu ushindi huo ambao unazidi kutoa mizizi kufikia chati tofauti tofauti.

   

  Dondosha comments


  Share this