hakuna ndoa kati ya dogo janja na Irene uwoya

  Share this

  Baada ya story na picha kusambaa katika mitandao ya kijamii hasa instagram kuwa msanii dogojanja amefunga ndoa na muigizaji Irene uwoya basi ukweli umefahamika…

  hii imekuja baada ya msanii Keisha kupitia ukurasa wake wa Instagram kupost picha ya pamoja akiwa na @babutale @madeeali @kassimmganga @dogojanjatz na ireneuwoya8

  na kuandika “Ahsanteni sana familia yangu kwa ushirikiano wenu the real queen of bongoflava is back the video is cumin soon” #therealqueenisback @babutale @madeeali @kassimmganga @dogojanjatz

  Je bado unaamini kuna ndoa kati ya dogo janja na Irene uwoya? waweza kudondosha comment yako pia.

   

  Dondosha comments


  Share this