Haya ndio majibu ya maswali yako kuhusu mapacha wa Jay Z na Beyonce (Rumi na Sir)

    Share this

    Kama ulikuwa una maswali mengi ambayo unajiuliza kila siku kuhusu mapacha wa Beyonce na Jay Z ni nani mkubwa, Sasa ondoa shaka kwani Tmz wametoa vyeti vya kuzaliw ambavyo vinaonyesha kwamba Rumi Carter ndiye aliyeanza kutangulia akafuatiwa na Sir Carter.

    Sasa kupitia info ambazo zilitolewa na mtandao wa Tmz zimeshare picha za vyeti za watoto hao ambao inaonyesha kwamba Rumi na Sir walizaliwa june 13 mwaka huu saa 11:13 alfajiri, na moja ya jambo ambalo limewaacha watu wengi midomo wazi ni kwamba daktari ambaye alitumika katika kuwazalisha watoto katika familia ya kardashian ndio huyo ambae ametumika kwa mapacha wa Beyonce na Jay z

    Dondosha comments


    Share this