Haya ndio mapenzi mubashara sasa, Cheki alichofanya Ciara kwa mpenzi wake

  Share this

  Raha ya Mapenzi ni kumpata ambaye anakuthamini na kukujali na mrembo wetu wa Ciara ameamua kumsuprise mumewe Russell Wilson kwa bango moja la mahaba kuhusu kusherehekea Mwaka mmoja wa ndoa yao.

  Kupitia kurasa yake ya Instagram ya Ciara aliamua kushare ujumbe ambao ulikuwa umebebwa na ndege unaosomeka kwamba  “Happy 1 Year Baby. Yay! I [Heart] U.”, ujumbe huo unatajwa uliandaliwa na Ciara kwa ajili ya kumsuprise mpenzi wake.

  Happy 1 Year Anniversary @DangeRussWilson! 1 Year Down… #ForeverTogether ❤️

  A post shared by Ciara (@ciara) on

  Ciara aliamua kisindikiza posti yake kwa kutumia pia ujumbe mzito wa kimahaba “”HAPPY 1 YEAR BABY! YAY! I ❤️U!”…I’m Grateful to God for the Love he has given me, by putting you in my life. I have all that I need. Truly 1 of the Best years of my life.”

   

  Dondosha comments


  Share this