Haya ndio Mawazo ya Nikki wa Pili kuhusu Muziki wa Bongo fleva kukosa Tuzo wala Album, anaamini hili

    Share this

    Baada ya maneno mengi ya mashabiki na wadau wa muziki kufunguka kwamba muziki wa bongo unakuwa butu kwa kuwa hauna tuzo wala Album, Nikki wa Pili amekuwa tofauti juu ya hilo na kusema kwamba aamini mchongo huo.

    Akiwa anatamba na ngoma ya Quality time aliyomshrikisha G Warawara, Nikki wa pili aliamua kufunguka kupitia kipaza sauti cha Perfect255 kuhusu ishu hiyo ambayo inaongelewa kwa sasa kwa kusema kwamba muziki wa Bongo kama umekuwa butu hivi kutokana na wasanii hawatoi Album wala hakuna tuzo, Moja ya jibu ambalo Nikki wa Pili alifunguka ni kwa kusema kwamba Credibility ya msanii ni mafans wake, the more unaweza kuwafikia mafans wako ndio kitu ambacho kwake kina matter, bofya play hapo chini kumsikiliza zaidi Nikki wa pili.

    Dondosha comments


    Share this