Hii zawadi ya Wizkid kwa mashabiki zake itakushangaza

  Share this

  Inaonekana kwamba baada ya kumaliza Concert yake huko nchini Kenya, Nairobi unaambiwa Wizkid alivyotua tu Nigeria ametengeneza Album ndani ya siku mbili.

  Sasa taarifa hiyo ambayo inamwonesha Wizkid kwamba hakuwa na nafasi ya bure bali alikuwa na nafasi ya kuwatengenezea mashabiki zawadi ya ujio wa Album, ambapo taarifa hiyo ilitolewa na rafiki wake wa kitambo anaefahamika kama Rotimi Rudeboy ambae alitumia kurasa yake ya Twitter kusema kwamba “Wiz really came to naij to make an album in 2days…mad mad mad,”  Rotini hakishia hapo, aakamua kuwanogesha zaidi kwa kusema kwamba Wizkid ananyimbo yake tayari imeshaachiwa ya Medicine.

  Moto wa Wizkid bado unachochea kutokana na hivi karibuni aliachia Project yake ya “Sounds From The Other Side.”, ambayo imebeba vichwa vingi vikubwa vya wasanii wanaofanya vizuri Duniani katika Industry ya Muziki.

  Dondosha comments


  Share this