HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA MNYAMWEZI TYGA KWENYE BIRTHDAY YAKE

    Share this

    Mnyamwezi Tyga au unaweza kumuita Kinggoldchains anakuja na style ya pekeake katika kusherehekea siku ya kuzaliwa tofauti na tulivyozoea kutoka kwa mastar kibao. Tyga ameamua kuandaa kitu kinachoitwa Birthday Tour na kuzunguka katika nchi sita duniani na kula bata na mashabiki zake. Kinggoldchains atadondoka katika nchi ya FIRENZE+ LONDON + MILAN + DUBAI + PARIS na atamalizia MIAMI.

    Kwa mchongo huo unaambiwa Tyga anaweza kupiga mkwanja mrefu ndani ya muda mfupi.Unahisi star gani kutoka bongo atafanya kama alivyofanya mnyama Kinggoldchains???

    Dondosha comments


    Share this