Hili ndio jibu sahihi kuhusu tatto ya Drake yenye sura ya Lil Wayne

  Share this

  Baada ya taarifa kibao kusambaa mtandaoni kuhusu rapper Drake kwamba amejichora tattoo mpya ya Lil Wayne, Unaambiwa kwamba tattoo hiyo ilichorwa muda mrefu.

  Kama ulikuwa ni miongoni mwa watu ambao ulikuwa ukishabikia kwamba sura ya Lil Wayne kwenye mkono wa Drake kwamba ni tattoo mpya basi uanze kuacha kushabikia, Good things ni kwamba Tmz wameripoti taarifa hiyo kwa kusema kwamba tattoo hiyo ya Drake unaambiwa inakama miezi mitano.

  Tatto hiyo ilikuwa ngumu kuonekana kutokana na muda mrefu kuvalia nguo ambazo ni ndefu.

  🤘🏽

  A post shared by champagnepapi (@champagnepapi) on

  #Drake got #LilWayne tatted on his arm

  A post shared by HotNewHipHop (@hotnewhiphop) on

  Dondosha comments


  Share this