Hivi ndivyo bifu la Drake na Tory Lanez lilimalizwa

  Share this

  Wanasema “Wee ndio mchiz wangu”, bifu ya Drake na Tory Lanez lilimalizwa na marafiki wao baada ya kuwaweka pamoja kupitia maongezi ya simu.

  Baada ya Drake na Tory Lanez kuposti picha wakiwa pamoja kuonesha kwamba ugomvi wao wameutupilia huko na kuamua kuwa kitu kimoja, Good Newz ni kwamba washikaji zao ndio waliofanikisha kuumaliza huu mzozo baada ya kuamua kuwaweka mtu be Drake na Tory Lanez kwenye maongezi ya simu ambayo ndio yaliofanikisha kutokea kwa picha hiyo ya pamoja ikiashiria kwamba Toronto inahitaji vichwa hivi ndani ya track moja.

  The city needs more of this and less of that. 6️⃣

  A post shared by champagnepapi (@champagnepapi) on

  Upande wa pili wa shilingi tunaona kwamba Drake ameamua kumaliza bifu zake wasanii wenzake akiwemo Ludacris, ila mashabiki bado wanakuna vichwa juu ya uamuzi anaoufanya sasa Drake.

  Dondosha comments


  Share this