Hizi ndio Ngoma za Godzilla ambazo Billnass anatamani kuzifanyia Remix

  Share this

  Ikiwa kumekuwa na story kitaani za kudai kwamba Billnass ndiye aliyeziba pengo la Godzilla kwenye game ya music baada ya kupotea, ila personally Billnass hakubaliani na story hizo kwasababu anadai kuamini kuwa hawezi ziba pengo la mtu ambaye hajafa.

  Billnass ametusanua kuwa Zilla ni rapper mkali na anayestahili heshima kubwa kutokana na yeye kumtangulia kwenye game na zipo ngoma zake ambazo anazikubali kinoma kias kwamba huwa anatamani hata kuzifanyia remix.

  Billnass amezitaja Nataka na King Zilla kama ngoma flani hivi kali kutoka kwa Godzilla na anazikubali kinoma kias kwamba huwa anatamani hata kuzifanyia remix.

  bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kumsikia Billnass akifunguka zaidi kuhusiana na mchongo huo.


   

  Dondosha comments


  Share this